Thursday, August 24, 2017

Alex Nyaganilwa--USIULIZE, JIULIZE

TUTAONGOZA KATIKA LIPI,KAMA TUMESHINDWA KWENYE VIAZI VYA CHIPSI???

Hallow,

Najua ni wakati mzuri sana kwetu sote kumshukuru mungu maana bila yeye tusingekuwa hapa leo na tusingepata wasaa wa kusoma posti hii.

Tanzania watu wanakula sana chipsi,kutokana na mtindo mpya wa maisha lakini pamoja na kula sana chipsi,bado uzalishaji wetu ni wa mashaka sana,haiwezekani tukazidiwa na malawi katika uzalishaji kweliiiiiii,

Ombi langu kama ardhi safi tunayo, maji yapo, soko lipo, nini kinatushinda? Afrika ni nchi tatu tu ndizo zinazalisha viazi kwa wingi na kuexpot nje....MALAWI, ALGELIA NA MISRI..

Tuwe na mpango mkakakti wa kuwawezesha wakulima wajue masoko ya mazao yao na tuunge mkono kujenga viwanda ili mazo haya yawe katika hali ya kisoko kutoka kwetu then ninao uhakika, soko lipo na linasubili utayari wetu.
GOOGLE
VIAZI  MVIRINGO

GOOGLE
 VIAZI MVIRINGO