NDOANO YA SIKU

Heri yao wale walioalikwa katika katika kalaamu ya bwana.maana ipo maana gani kumkaribisha katika kalamu yako yule ambaye unategemea siku mmoja nae atakualika katika kalamu yake!
  basi bibilia inasema WAKOPESHENI WALE AMBAO HAWANA UWEZO WA KUWARUDISHIENI NA WAALIKENI MASIKINI KATIKA KALAMU ZENU. kufanya hivyo ni kumkaribisha  YESU mwenyewe katika nyumba yako;,,,,
       

           BARIKIWA,

No comments:

Post a Comment