Wednesday, March 12, 2014

KATI YA HAWA WATU MMOJA WAO ATAKUWA SPIKA WA BUNGE MAALUM LA KATIKA JIONI YA LEO

Hizi ni picha za wagombea wa nafasi ya mwenyekiti wa bunge maalum la katiba au (spika wa bunge maalum la katiba)uchaguzi rasmi utafanyika tarehe 12-03-2013 katika ukumbi wa bunge,na kama ilivyoainishwa katika sheria hii kama mwenyekiti atatoka upande mmoja wa muungano basi makamu wake atoke upande mwingine wa muungano,lakini pia itazingatiwa jinsia,,kama mwenyekiti mwanaume basi makamu wake ni sharti awe mwanamke
CHIPAKA.

HUVISA

RUNGWE,

SITTA