NI KATIKA KUWATAKIA WADAU WOTE WA ITIKA KHERI YA MWAKA MPYA 2014;
Kuna kila sababu ya kutakiana kila lililo la kheri mwaka huu mpya unaoanza soon...
OMBI Langu kwenu-----kama kuna jambo ulikosea 2013 usijilaumu sana ila usirudie tena kutenda hilo jambo maana mungu amekupitisha hapo kwa makusudi yake....
No comments:
Post a Comment