![]() |
ALEX AKIWA KAZINI KUSAKA HABARI. |
Saturday, April 5, 2014
JE?TUTAFIKA WANAHABARI TUNAPOPATAKA
Kuna mambo sita hivi muhimu sana ya kujiuliza kama mdau wa habari,ili ufanye kazi yako kwa ufanisi na kwa weledi wa hali ya juu,jiulize maswali haya-----1.chanzo chako cha habari. 2.kusudio la habari hiyo, 3.upatano wa habari na hali halisi 4.je umefanya utafiti 5.je habari yako inahisia yoyote,6.je habari yako ni mpya au ya zamani,,,,,,,,HAPA NDIPO IPO MISINGI YA HABARI ZOZOTE POPOTE DUNIANI,,,,je maswali haya wewe kama mteja wa habari katika vyombo mbali mbali vya habari unajiuliza kwanza kabla ya kusoma na baada ya kusoma...maana taarifa au habari ndiyo hubomoa au kujenga jamii yoyote..............jiwekee kawaida ya kuchunguza habari kabla ya kuipokea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment