Thursday, December 26, 2013

HII NI KARNE AMBAYO UTANDAWAZI UNAINGIA KWA KASI YA AJABU,PENI INAYOPIGA PICHA

Katika hali ambayo inaonekana kama maendeleo ya haraka katika tekinolojia ya habari na mawasiliano ni pamoja na hizi aina ya peni ambazo zinauwezo wa  kupiga picha kwa ubora wa hali ya juu  pamoja na kupata sauti yenye ubora wa kutosha,,,,,Haya sasa wandishi wa habari za uchunguzi uwanja ni wenu,msije mkatoa sababu ambazo zitakuwa hazina mashikoooooo.


No comments:

Post a Comment