HAWA NI ASIKARI WA IRANI-Tangu tarehe 6 january mpaka leo hii hawa jamaa wameshawanyonga raia 74 hadharani katika mji wa QAZVIN,,huu umekuwa ni utaratibu wao kunyonga raia wake ambao wamekutwa na makosa mbali mbali,swali,,,JE HAKI HIYO YA KUTOA ROHO ZA BINADAMU WENZAO WANAITOA WAPI
|
No comments:
Post a Comment