mwimbaji wa nyimbo za injili nchini tanzania ambaye amesaini mkataba na son afrika,amesema wale ambao wanataka kuwa kama yeye ,kwanza wamuombe mungu wapitie kwanza mapito aliyopitia yeye kwanza ,,maana mapito yake ndiyo msingi wa hapo alipo----------BARIKIWA SANA DADA ROSE |
No comments:
Post a Comment