AHADI NI DENI ,VIONGOZI WA TAIFA HILI LA TANZANIA LAZIMA WAWE NA HURUMA
NIGONGEE-Tunazungumza dili zetu kwa lugha zetu wenyewe 2014 tunaamkia popote;;;na leo tumeamkia MABWEPANDE
SIO NAHUTUBIA MKUTANO,HII NI MOJA KATI YA KAZI YA JAMII TUIFANYAYO.
ALEX-akiongea na wakazi wa mabwepande wakieleza jinsi ambavyo hali yao ilivyo,hii ilitupa wakati mgumu sana kuamini kile ambacho tulikiona pale,kama kweli mazingira kama yale binadamu anaweza kuishi...INASIKITISHA .VIONGOZI-,MKUU WA WILAYA,MKUU WA MKOA NA MBUNGE WAO LAZIMA WAWAJIBIKE KWA HILI
No comments:
Post a Comment