Wednesday, February 12, 2014

KWA AFYA YAKO YA LEO NA BAADAYE

HII siyo saa tu kama ambavyo unaweza kuiona na kuiacha kama ilivyo.hii ni milo minne mhimu kwa afya ya binadamu kama unataka kuwa na afya njema basi lazima ufuate ulaji huu ili mwili uwe na afya pamoja na madini yanayotakiwa, kama ambavyo muumba wa mbingu na dunia alikusudia tangu uumbaji wake....

Jinsi ulivyo leo ni kutokana na jinsi ambavyo juzi na jana umekula,ila kama unataka afya yako ya kesho na keshokutwa u iwe bora basi huna budi kuachana na aina hii ya vyakula na kurejea edeni kwenye asili yetu ya mboga mboga na matunda.....EPUKA KANSA NA UGONJWA WA MOYO

No comments:

Post a Comment