Monday, February 24, 2014
TANZANIA NI LAZIMA TULINDE UTAMADUNI WETU KWA GHARAMA YOYOTE NA MUNGU ATATULINDA
Kile kinachoendelea kwa sasa baina ya rais wa marekani na rais wa uganda ni ishara tosha na ujumbe mkubwa sana kwetu sisi kama watanzania pia kama majirani na ndugu zetu hawa wa uganda,maana tumeona namna ambavyo marekanin imekuwa karibu na viongozi wetu wandamizi wa kitaifa,katika lile linaloitwa UWEKEZAJI MKUBWA,
Siyo jambo baya kuwekeza,lakini je uwekezaji huo unakuja na masharti ambayo yanapingana na utamaduni wetu?jibu ni ndiyo kama wanajaribu kushinikiza kwamba usipokubali ndoa za jinsia moja tunakufutia misaada!hili ni jambo ambalo rais wangu kama wanaleta misaada yao ya net na umeme ili mzee ulainike uingia mkenge,sisi kama raia wema tunamwomba mungu akupe ujasiri na hekima ya kulikataa hili mchana kweupe.
KUMBUKENI PIA SODOMA NA GOMORA,NA MIJI YA KANDO KANDO YAKE,WENYEJI WAKE WALIFANYA KAMA WALE MALAIKA,WALIFANYA UZINZI NA MAMBO YALIYO KINYUME CHA MAUMBILE,WAKAPEWA HUKUMU YA MOTO WA MILELE,IWE ONYO KWA WATU WOTE(yuda 1;7)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment