Monday, February 24, 2014

TANZANIA TUPO TAYARI KULINDA UTAMADUNI WETU?KAMA WATANZANIA?

RAIS WA UGANDA....amemwambia obama kwamba yeye haogopi kitu mbele ya kutetea utaifa wake pamoja na utamaduni wake pia amemwambia kwamba yeye si general wa darasani bali ni askari wa msituni
HII NDIYO ALAMA YA TAIFA LA UGANDA AMBAPO OBAMA ANATAKA UTAMADUNI WAO UCHAKACHULIWE;
Kile kinachoonekana kama ugomvi wa maneno kati ya rais wa marekani na rais wa ugannda ni somo kubwa sana kwetu sisi watanzania ambao tupo karibu na ndugu zetu waganda  lakini pia tumeonyesha ukaribu sana na hawa mabwana wakubwa MAREKANI.tatizo kubwa lipo pale ambapo bwana mseveni alitamka wazi kabisa na kupitisha sheria ambayo inapiga marufuku ndoa za jinsia moja,na baada ya kusikia hivyo bwana mkubwa obama akaja juuuuuu...JE HII NI FEAR KWA UTAMADUNI WETU

No comments:

Post a Comment