Monday, April 28, 2014

UKUBWA DAWA!!!

Habari ndugu,najua ni kwa jinsi gani kama vijana tunapaswa kujua wajibu wetu tungali na nguvu za kutosha,lakini wajibu huo unaendana na haki za msingi za mtu,napenda kuwakumbusha kitu kimoja vijana wenzangu wa kitanzania na afrika kwa ujumla wake,
   Mtu ambaye anaweza kufanya mabadiliko katika maisha yako ni yule mtu wa ndani,nini mana ya mtu wa ndani, mtu wa ndani ni ile sauti inayokuongoza katika ukweli na usahihi wa majambo yote,na huyu si mwinginine ni roho takatifu ya mungu wako alikuumba,
  Ukisha kuweza kusikia sauti hiyo na kuitii ni dhahili kwamba utafanya mambo yote uyatmaniyo kufanya ila utafanikiwa katika yale ambayo mungu alikupa karama kwayo.miili yetu ipo ili itumike vizuri lakini ukiacha mwili ukuongoze katika maamuzi  ya maisha yako ni dhahiri hutafikia yale mafanikio ambao mungu alikusudia ufikie maana mwili,rafikiye ni yule mwovu,(shetani)wakati ukiwa na nguvu zako utumie mwili wako katika mambo yale yaliyoamuliwa kwa usahihi ili majuto isiwe sehemu ya maisha yako .....ndiyo maana tunasema ukubwa dawaaaaaaa!!!!
PAMOJA NA KUWA MSITUNI LAKINI UBUNIFU BADO UPO

No comments:

Post a Comment