Saturday, May 17, 2014

HILI NI FUNZO KWA VYAMA VINGINE TAWALA VYA AFRIKA....KUTOKA INDIA

Kwa kawaida ni watu wengi sana ambao huwa hawaamini ndoto zao,jambo ndoto hizo ukiziamini na kuzishi inafikia wakati ambao ndoto hizo zinakuwa kweli,,,hivi karibuni tumeshuhudia uchaguzi wa kitaifa nchini india,wenye kila hali ya haki na salama,na matokeo yake chama tawala kimepoteza umaarufu wake na hatimaye kimepoteza kiti cha urais na kupoteza viti vingi vya ubunge,ambayo kwa bahati mbaya hakina hata uwezo wa kuunda serikali ya mseto......
      Hii inamaana bunge lijalo la india chama tawala chenye idadi ya viti vya bunge si zaidi ya 50 hakina hata uwezo wa kuwa chama kikuu cha upinzani,
    Ni ishara kubwa sana kwa vyama vingine katika bara la afrika kujiandaa kwa lolote katika chaguzi mbali mbali,hasa hapa nchini kwetu tanzania chama tawala cha ccm  kijiandae kwa lolote.....

WAONE NA WAJIFUNZE JAMBO KUTOKA KWA WENZAO HUKO INDIA
RAIS MPYA WA INDIA

NEW INDIAN- PRESIDENT

No comments:

Post a Comment