Kiongozi wa boko haram inchini nigeria ametoa picha ya video na picha ya mnato inayowaonesha mateka aliowateka majuma kadhaa yaliyopita,wakiwa hai,na huku akitoa masharti magumu kwa serikali ya nigeria na washirika wake waliojitolea kwenda kuwaokoa mabinti hao.
Anasema lazima wakubali kwanza kuwaachia wapiganaji wote wa boko haram wanaoshikiriwa na serikali ya nigeria bila mashart yoyote naye atawaachia mabinti hao bila masharti.je viongozi hawa wa kijeshi wa nigeria watakuwa tayari kwa hilo?macho na ,masikio yetu ni kwa maafisa wa kijeshi wa nigeria na washirika wake,,,,
 |
PICHA YA MATEKA |
 |
KIONGOZI WA BOKO HARAM |
No comments:
Post a Comment