Hizi siku mbili ni siku ambazo katika idara ya kusimamia na kutafsiri sheria MAHAKAMA imewatendea haki watanzania baada ya haki yao kufichwa kwa miaka mingi katika mwavuli unaoitwa ubunge..
Kwa sasa mbunge yoyote atakayoyasema bungeni kama ni ya kutunga au kuudhi kama yule mbunge wa ccm alivyotukana basi atashitakiwa kama raia mwingine wa kawaida,hili ni jambo ambalo linatia nguvu kwa wanaharakati kuendelea kudai haki nyingine zinazokandamiza uhuru wa mtu.
Kwanza inatia kinyaa na ni aibu kwa mbunge tena kiongozi wa jamii anapiga picha cha ngono,zinazokiuka maadili ya taifa na madili ya uongozi,na bado kanuni zao zinabki kimya,hii haikubaliki kabisa,mimi naomba hawa wabunge wawili wote wa ccm wafukuzwe ubunge na nyadhifa zao nyingine maana hawafai na hawana tofauti na wahuni wa mtaani.
Nitamshangaa sana rais wetu na spika wa bunge wakikaa kimya huku wabunge hawa wanadhalilisha taifa.na pia mahakama itupe mongozo tena,je hawa wabunge mtu mmoja mmoja anaweza kuwashitaki?mtwambie sheria inasemaje,
Hili ni bunge la ajabu kabisa dunia halijawahi kutokea,na muda wenu umekaribia,
![]() |
BUNGE LA TANZANIA 2014 |
No comments:
Post a Comment