Monday, March 30, 2015

WAZANZIBAR KWANINI MWAIBA NYARAKA ZENU MHIMU KWA TAIFA LENU?


Salama wanajopo,,
      Leo ni  siku tena nyingine tumshukuru mungu kwa kutuwezesha kuiona,barikiweni na bwana wapendwa..
    kuna jambo moja ambalo lazima tulisemee kama watanzania ambao tunayohaki ya msingi ya kulinda taifa letu,kwa mujibu wa gazeti la mwananchi,kuna nyaraka za serikali ya mapinduzi ya zanzibar zimeibwa na viongozi wa taifa hilo,hasa wale walioteuliwa katika ngazi hizo za kulinda na kutunza hazina hizo adimu kwa taifa lao,zimeibwa zikiwa katika chumba maalumu tena ndani ya sanduku!!!

   swali,kwanini wameiba na ni kwa masilahi ya nani?majibu ya maswali haya wezi wa nyaraka hizo wao pekee ndiyo wajuao hasa nini kiliwasukuma, japo kwa muibu wa kiongozi wa iliyokuwa kamati ya kuchunguza tuhumahizo alitoa kabisa udhibitisho kwamba,na nukuu"walirubuniwa kwa fedha na vyakula kama tende".

ikulu ya zanzibar
viongozi wa serikali ya mapinduzi ya zanzibar
    Sasa kiongozi unarubuniwa kwa tende then unatoa siri za taifa lako,then after?hakuna ujuha mbaya kama kukosa uzalendo na taifa lako,,nafahamu zipo sababu nyingi amabazo zinasababisha watu kukosa uzalendo lakini hakuna sababu yoyote inayozidi amani ya taifa lako na uwepo wa taifa lako,..

No comments:

Post a Comment