Israel ,
Jamaa hawak nyuma na kujilinda na kulinda mipaka ya taifa hilo ambalo limezungukwa na maadui pande zote.lakini kwa sababu israel ni taifa teule limekuwa na misuguano mingi na mataifa hayo jirani.
Leo kuna kitu kimoja ambacho kimesaemwa katika vyombo vingi vya habari ,pale waziri mkuu wa Israel,alipoiambia dunia kwamba IRAN inatengeneza siraha za nyukiria na wako tayari kama taifa la israel kuhakikisha mpango huo unakoma mara moja, hata kama umoja wa mataifa hautaunga mkono ila wao wako tayari kuona nyukiria haiendelei IRAN.
Hapo hapo Rais wa IRAN Bwa, ROHANI anasema wao wataendelea kutengeneza kwajili ya usalama wao.HILI SIYO JAMBO LA MASIHARA KASISA KATIKA DUNI
A .tafuteni suruhuu viongozi wetu....
No comments:
Post a Comment