Salama wanajopo natumai mu wazima wa siha njema.
Kwanza kabisa napenda nimpongeze rais wangu jakaya kwa jambo moja la msingi ambalo amelifanya hivi majuzi,kuhudhulia na kutoa hotuba katika semina ya fulsa hapa dar es salaam.
Mimi ninayo maoni yangu ambayo siyo tofauti sana na jakaya na wazungumzaji wengine katika semina ile.bali kuna jambo ambalo liliachwa kusemwa kwa makusudi au walitindikiwa na mambo mengi kutokana na kile wanachokiita ujenzi wa taifa.
MOJA-Serkali imeshindwa kutekeleza dhana ya kilimo kwanza kwa vitendo hii iko wazi,je mtu mmoja mmoja ataweza kumudu suala ambalo watu wenye kila aina ya rasilimali wameshindwa?
MBILI-Hakuna mkulima mdogo ambaye anaweza kulima kwa tija kwa kutegemea jembe la mkono na neema za mwenyezi mungu alete mvua.
TATU-Pamoja na kwamba hicho kidogo ambacho wanakipata kwa kutumia jembe la mkono,bado serikali ndo inawapangia bei,hii si haki na lazima jambo hili jakaya ulione kwa jicho pevu.
NNE-Sera ya ardhi na mikopo tanzania si rafiki na huyu mkulima mdogo ambaye mnamwonyesha fursa.
NB---Nini kifanyike,kwanza kabisa rekebisheni sera ya ardhi na sera ya mikopo katika tasisi za fedha riba ni kubwa mno ili vijana waweze kuzitumia hizo fulsa vilivyo.
Saturday, November 30, 2013
Thursday, November 21, 2013
KUENDELEA KUISHI KATIKA NYUMBA YA NHC IHALI UNAUWEZO WA KUJENGA ----UBINAFSI
SAIDHANI KAMA KUNAHAJA YA KUWA NA MAONESHA YA BIASHARA KAMA HAYA HUKU SERIKALI YETU HAIWEKEZI KWENYE VIWANDA -----wanaonufaika ni wafanyabiashara wa nje na wawekezaji wanaochuma na kupeleka makwao......vipi wahindi kuendelea kukaa nyumba za serikali wakati ndo moja kati ya wawekezaji wakubwa hapa kwetu?
UKIACHA KUSEMA JAMBO UNALOLIAMINI NA KULISIMAMIA...NI SAWA NA MLEMAVU WA KUTO KUSEMA (BUBU)
KILA KITU DUNIANI KINATOKEA KWA MUDA NA KWA SABABU MAALUM
Habari ndugu zanguni,
Leo imekuwa siku ya huzuni sana kwa ndugu hawa wawili ambapo rufaa yao imekataliwa rasmi na kwa tafsiri hiyo hawa ndugu watatumikia adhabu ya kifungo cha maisha jela,
Baba na mwanae ambao walikuwa rumande tangu 2004 mpaka leo ambapo msumari wa mwisho umepigiliwa katika maisha yao na kuwaachia maumivu ya kutosha kutoa machozi machano pao,hakuna sababu ya kuwa na huzuni sana maana kila kitu katika dunia hii kinatokea kwa muda na kwa sababu maalumu.
Siku sababu hiyo ikitoweka basi na jambo hilo hutoweka pia, napenda kuwapa moyo ndugu na jamaa wa ndugu hawa ili wawe na moyo wa upendo na uvumilivu,wazidishe maombi ili mungu awaoneshe mambo makubwa na ya ajabu ambayo yalikuwa yamefichwa na yanaendelea kufichwa katika macho yetu haya ya nyama....
KILA KITU KIPO KWA MUDA NA KWA SABABU JUU MBINGUNI NA HAPA ARIDHINI

![]() |
Add caption |
Wednesday, November 13, 2013
TUMEITWA ILI TUKATANGAZE INJILI KWA MATAIFA,KAA MKAO WA KULA
Habari ndugu zangu,
Napenda kutumia fulsa hii adimu sana kuzungumza nanyi ndugu zangu popote duniani kwamba ikiwa umepewa kibali cha kuendelea kuiona leo basi lipo kusudi ambalo mungu wetu anataka utimize,
Najiona mwenye bahati na ninayependwa na mungu wangu kwani silipi chochote lakini bado ananipenda na kunipigania kipindi ambacho mwovu shetani anataka kuteka akili zangu na matendo yangu, lakini kristo yesu bwana na mwokozi wangu amekuwa akinilinda na kuniweka chini ya mbawa zake wakati wote.
Kuna jambo jema ambalo nataka kwa yoyote ambaye atawiwa kufanya kazi ya bwana ili kuwaokoa vijana wenzetu ambao bado hawajapata mwanga wa kumpokea yesu kristo kama bwana na mwokozi wa maisha yao,na bado wanaendelea kuishi maisha yasiyo na tumaini basi,kama vijana tuliookoka tumepewa jukumu la kwenda kutangaza injili hiyo kwa mataifa.
KUNA KIPINDI CHA GOSPLE KINAITWA (itika)NI KIPINDI CHA VIJANA WOTE WANAOPENDA GOSPLE YA KISASA BASI ITAKUWA NI WAKATI WENU MZURI WA KUPATA NENO LA MUNGU KWA LUGHA YAKO,MWONEKANO WAKO,NA AINA YA MUZIKI UNAYOIPENDA,NA SWAGA ZOTE ZA KISASA UTAZIPATA HAPO...maana biblia inasema FEDHA NA DHAHABU VYOTE NI MALI YA BABA YETU.kwa hiyo tunayohaki kama vijana ya kuwa na vyote vitamaniwavyo na mataifa tukiwa ndani ya wokovu....basi kaa mkao wa kula kipindi hiki kitakuwa mtandaoni na kwenye tv zetu hapa tanzania ....+2550756 787089

Subscribe to:
Posts (Atom)