Wednesday, November 13, 2013

TUMEITWA ILI TUKATANGAZE INJILI KWA MATAIFA,KAA MKAO WA KULA

Habari ndugu zangu,
     Napenda kutumia fulsa hii adimu sana kuzungumza nanyi ndugu zangu popote duniani kwamba ikiwa umepewa kibali cha kuendelea kuiona leo basi lipo kusudi ambalo mungu wetu anataka utimize,
   Najiona mwenye bahati na ninayependwa na mungu wangu kwani silipi chochote lakini bado ananipenda na kunipigania kipindi ambacho mwovu shetani anataka kuteka akili zangu na matendo yangu, lakini kristo yesu bwana na mwokozi wangu amekuwa akinilinda na kuniweka chini ya mbawa zake wakati wote.

Kuna jambo jema ambalo nataka kwa yoyote ambaye atawiwa kufanya kazi ya bwana ili kuwaokoa vijana wenzetu ambao bado hawajapata mwanga wa kumpokea yesu kristo kama bwana na mwokozi wa maisha yao,na bado wanaendelea kuishi maisha yasiyo na tumaini basi,kama vijana tuliookoka tumepewa jukumu la kwenda kutangaza injili hiyo kwa mataifa.

KUNA KIPINDI CHA GOSPLE KINAITWA  (itika)NI KIPINDI CHA VIJANA WOTE WANAOPENDA GOSPLE YA KISASA BASI ITAKUWA NI WAKATI WENU MZURI WA KUPATA NENO LA MUNGU KWA LUGHA YAKO,MWONEKANO WAKO,NA AINA YA MUZIKI UNAYOIPENDA,NA SWAGA ZOTE ZA KISASA UTAZIPATA HAPO...maana biblia inasema FEDHA NA DHAHABU VYOTE NI MALI YA BABA YETU.kwa hiyo tunayohaki kama vijana ya kuwa na vyote vitamaniwavyo na mataifa tukiwa ndani ya wokovu....basi kaa mkao wa kula kipindi hiki kitakuwa mtandaoni na kwenye tv zetu hapa tanzania ....+2550756 787089

No comments:

Post a Comment