Wednesday, January 22, 2014

DUNIA IMEKWISHAAAA KABISAAA TUONGEZE MAOMBI

Huyu jamaa ni msomi mwandishi wa vitabu nchini kenya,lakini hivi karibuni amejitangaza kwamba anajihusisha na ngono za jinsia moja,hii ni hatari sana kwa kizazi chetu cha afrika ambacho hizo si mila na desturi zetu.

kama mtu ni mwandishi wa vitabu tutegemee nini kwa mwandishi huyu katika malezi kwa watoto wetu na jamii kwa ujumla wake,

Ningekuwa kiongozi kutoka kenya ;kwanza ningepiga marufuku vitabu vyake ambavyo vinamisimamo hiyo kusambazwa kenya na afrika kwa ujumla,pili adhabu kali mpaka ahame nchi aende kwa malikia siyo hapa kwetu,,,,huyo ningekuwa mimi

Lakini kwa kuwa siyo mimi,sikiliza leo BBC AKIWA NA KIKEKE na pia utasikia maoni ya wakenya na wasikilizaji wa bbc afrika

NB;KWA RAIA WOTE WA AFRIKA TULINDE NA KUJALI UTU WETU NA UTAMADUNI WETU  ZAIDI TUHESHIMU MUNGU MUUMBA WETU..

No comments:

Post a Comment