Katika historia ya dunia hii wapo watu wengi ambao wanaandika kwa namna na jinsi tofauti historia zao.lakini kwa huyu binti ambaye ni mwigizaji nguli nchini afrika ya kusini katika mchezo wa television ambao inasadikika kwamba ndio mchezo uliokaa mda mrefu katika tv hapa afrika.
Kitu cha kujifunza kwake ni kwamba tangu alipoona afya yake haiko vizuri, aliamua kwenda kupima na majibu yake ilionekana amepata maambukizi ya virusi vya ukimwi.alijitangaza hadharani bila aibu kwa hali yake ili asaidie wengine.
Ifahamike kwamba nchi ya afrika kusini ndiyo nchi inayoongoza duniani kuwa na maambukizi mengi ya virusi vya ukimwi,kwa ujasiri wake nasi pia tuige mfano huo bila kujali hali zetu kwa jamii au vyeo vyetu,,,,,TUKAPIME ILI TUJUE AFYA ZETU NA TUKIJUA AFYA ZETU TUYATUMIE MAJIBU HAYO KUBADIRISHA TABIA NA KUSAIDIA JAMII INAYO TUZUNGUKA
No comments:
Post a Comment