Friday, February 14, 2014

UPENDO YATUPASWA KUONESHA MUDA WOTE KWA NDUGU NA JAMAA ZETU

Siamini hata kidogo kama kuna siku ambayo inabidi upendo uoneshwe kwa kiwango tofauti na siku nyingine,kila siku ni zawadi kutoka kwa muenyezi mungu, ukiona umepewa zawadi ya kuiona leo basi kazi yako ni moja tu KUONESHA UPENDO KWA VITENDO KWA BINADAMU WENZAKO-Mfano kuna watu ambao siku ya leo imekuwa siku ya kuonesha ni jinsi gani wanawapenda ndugu zao,siyo vibaya lakini UPENDO NI JAMBO LA KILA SIKU NA NI KANUNI YA KIMUNGU,tupendane
always loving my kids

Alex tha producer

No comments:

Post a Comment