Wednesday, January 29, 2014
UKWELI HUU WA ROSE MHANDO NI MGUMU KUMEZA, JAPO HUASHIRIA UPENDO UPENDO
Wednesday, January 22, 2014
DUNIA IMEKWISHAAAA KABISAAA TUONGEZE MAOMBI
Huyu jamaa ni msomi mwandishi wa vitabu nchini kenya,lakini hivi karibuni amejitangaza kwamba anajihusisha na ngono za jinsia moja,hii ni hatari sana kwa kizazi chetu cha afrika ambacho hizo si mila na desturi zetu.
kama mtu ni mwandishi wa vitabu tutegemee nini kwa mwandishi huyu katika malezi kwa watoto wetu na jamii kwa ujumla wake,
Ningekuwa kiongozi kutoka kenya ;kwanza ningepiga marufuku vitabu vyake ambavyo vinamisimamo hiyo kusambazwa kenya na afrika kwa ujumla,pili adhabu kali mpaka ahame nchi aende kwa malikia siyo hapa kwetu,,,,huyo ningekuwa mimi
Lakini kwa kuwa siyo mimi,sikiliza leo BBC AKIWA NA KIKEKE na pia utasikia maoni ya wakenya na wasikilizaji wa bbc afrika
NB;KWA RAIA WOTE WA AFRIKA TULINDE NA KUJALI UTU WETU NA UTAMADUNI WETU ZAIDI TUHESHIMU MUNGU MUUMBA WETU..

HUU NI UTAMADUNI MZURI SANA KUIGWA-R.I.P LETTY (ISIDINGO)
Katika historia ya dunia hii wapo watu wengi ambao wanaandika kwa namna na jinsi tofauti historia zao.lakini kwa huyu binti ambaye ni mwigizaji nguli nchini afrika ya kusini katika mchezo wa television ambao inasadikika kwamba ndio mchezo uliokaa mda mrefu katika tv hapa afrika.
Kitu cha kujifunza kwake ni kwamba tangu alipoona afya yake haiko vizuri, aliamua kwenda kupima na majibu yake ilionekana amepata maambukizi ya virusi vya ukimwi.alijitangaza hadharani bila aibu kwa hali yake ili asaidie wengine.
Ifahamike kwamba nchi ya afrika kusini ndiyo nchi inayoongoza duniani kuwa na maambukizi mengi ya virusi vya ukimwi,kwa ujasiri wake nasi pia tuige mfano huo bila kujali hali zetu kwa jamii au vyeo vyetu,,,,,TUKAPIME ILI TUJUE AFYA ZETU NA TUKIJUA AFYA ZETU TUYATUMIE MAJIBU HAYO KUBADIRISHA TABIA NA KUSAIDIA JAMII INAYO TUZUNGUKA

Sunday, January 12, 2014
BIBI WA ZAIDI YA MIAKA 50 ATARAJIA KUPATA MTOTO WA DILI A.K.A MJUKUU WAKE
Katika hali ambayo inaonekana kama tekinolojia inachukua nafasi ya mungu kwa kiasi fulani inaendelea kujitokeza ..wanandoa fulani nchini marekani baada ya kukaa kwa zaidi ya miaka mitatu bila kupata mtoto na baada ya vipimo ikagunduliwa kwamba haitakuwa rahisi kwao kupata mtoto ni hiki hapa walichokifanya,,
Baada ya kuona hivyo wakafanya utaratibu wa kupandikiza mimba ambayo tayari ilikuwa imeshaanza kukua katika tumbo la uzazi wa binti yake na akapandikiziwa mama mzazi wa binti huyo kwa mkataba maalumu na mtoto huyo ambaye anatarajiwa kuwa binti atazaliwa mwezi ujayo yaani mwezi wa pili 2014
je watanzani utaratibu huu ukipitishwa hapa kwetu upendo utaongezeka au utazidi kupoa.....lakini pia je mbele ya mungu hii ni saw?

Sunday, January 5, 2014
RASIMU YA PILI YA KATIBA TANZANIA MWAGA HUOOOOOOOO!!!!!!!!
Napenda kuwambia kitu kimoja tu mhimu rasimu ya pili ya katiba yetu ina ibara 270 hivi,ukiipata ili uisome uelewe mstakabali wa familia yako na vizazi vijavyo viikute tanzania ya namna gani...picha yaja
Subscribe to:
Posts (Atom)