Monday, February 24, 2014
TANZANIA NI LAZIMA TULINDE UTAMADUNI WETU KWA GHARAMA YOYOTE NA MUNGU ATATULINDA
Kile kinachoendelea kwa sasa baina ya rais wa marekani na rais wa uganda ni ishara tosha na ujumbe mkubwa sana kwetu sisi kama watanzania pia kama majirani na ndugu zetu hawa wa uganda,maana tumeona namna ambavyo marekanin imekuwa karibu na viongozi wetu wandamizi wa kitaifa,katika lile linaloitwa UWEKEZAJI MKUBWA,
Siyo jambo baya kuwekeza,lakini je uwekezaji huo unakuja na masharti ambayo yanapingana na utamaduni wetu?jibu ni ndiyo kama wanajaribu kushinikiza kwamba usipokubali ndoa za jinsia moja tunakufutia misaada!hili ni jambo ambalo rais wangu kama wanaleta misaada yao ya net na umeme ili mzee ulainike uingia mkenge,sisi kama raia wema tunamwomba mungu akupe ujasiri na hekima ya kulikataa hili mchana kweupe.
KUMBUKENI PIA SODOMA NA GOMORA,NA MIJI YA KANDO KANDO YAKE,WENYEJI WAKE WALIFANYA KAMA WALE MALAIKA,WALIFANYA UZINZI NA MAMBO YALIYO KINYUME CHA MAUMBILE,WAKAPEWA HUKUMU YA MOTO WA MILELE,IWE ONYO KWA WATU WOTE(yuda 1;7)
TANZANIA TUPO TAYARI KULINDA UTAMADUNI WETU?KAMA WATANZANIA?
![]() |
RAIS WA UGANDA....amemwambia obama kwamba yeye haogopi kitu mbele ya kutetea utaifa wake pamoja na utamaduni wake pia amemwambia kwamba yeye si general wa darasani bali ni askari wa msituni |
![]() |
HII NDIYO ALAMA YA TAIFA LA UGANDA AMBAPO OBAMA ANATAKA UTAMADUNI WAO UCHAKACHULIWE; |
Saturday, February 22, 2014
JE?UTAJIRI WA KUPINDUKIA WA WATUMISHI WA MUNGU NI MWAGAZA HALISI KWA MKRISTO WA KWELI?
Ni vema kuwa wa kweli katika ulimwengu huu ambao kila mmoja wetu amekuwa na tafsiri yake juu ya utumishi wa mungu,katika hili ni vema tukaweka sawa kama wakristo tuliookoka, je watumishi hawa wa mungu wanapaswa kuhojiwa kwa mali zao na utajiri wao?si jambo jema kuwahoji watumishi hawa eti kwa nini wanamiliki mali nyingi,ila ni hekima kuhoji kama maisha yao yanaakisi ukristo wa kweli bila kujali mali zao,hapa ndipo ambapo yatupasa tuwaulize na kama kusema yatupasa kusema maana biblia takatifu inasema hivi;
Luka 9;23--mtu yeyote anayetaka kuwa mfuasi wangu, ni lazima ajikane nafsi yake,auchukue msalaba wake kila siku, anifuate
![]() |
SIYO DHAMBI KUWA NA MALI LAKINI JE MASIKINI ANASEHEMU GANI KATIKA UPENDO WA AGAPE NA MAISHA YAKO YA KILA SIKU EWE MTUMISHI WA MUNGU?hii ni fahari ya kimungu au fahari ya kibinadamu;... |
![]() |
Huyu ni mchungaji mkubwa sana MAREKANI----Kama unapenda kuwa mkamilifu,nenda kauze mali yako uwape masikini hiyo fedha,nawe utakuwa na hazina mbinguni,kisha njoo unifuate(MATHAYO 19;21) |
![]() |
Mbweha wana mapango,na ndege wanaviota;lakini mwana wa mtu hana mahala pa kupumzika(MATHAYO 8;20) |
![]() |
HILI NI MOJA KATI YA MAENEO AMBAYO YANAWAKILISHA UMASIKINI WA KUTUPWA NCHINI INDIA, |
Friday, February 14, 2014
UPENDO YATUPASWA KUONESHA MUDA WOTE KWA NDUGU NA JAMAA ZETU
Siamini hata kidogo kama kuna siku ambayo inabidi upendo uoneshwe kwa kiwango tofauti na siku nyingine,kila siku ni zawadi kutoka kwa muenyezi mungu, ukiona umepewa zawadi ya kuiona leo basi kazi yako ni moja tu KUONESHA UPENDO KWA VITENDO KWA BINADAMU WENZAKO-Mfano kuna watu ambao siku ya leo imekuwa siku ya kuonesha ni jinsi gani wanawapenda ndugu zao,siyo vibaya lakini UPENDO NI JAMBO LA KILA SIKU NA NI KANUNI YA KIMUNGU,tupendane
![]() |
always loving my kids |
Alex tha producer |
Wednesday, February 12, 2014
KWA AFYA YAKO YA LEO NA BAADAYE
AHADI NI DENI ,VIONGOZI WA TAIFA HILI LA TANZANIA LAZIMA WAWE NA HURUMA
![]() |
NIGONGEE-Tunazungumza dili zetu kwa lugha zetu wenyewe 2014 tunaamkia popote;;;na leo tumeamkia MABWEPANDE |
![]() |
SIO NAHUTUBIA MKUTANO,HII NI MOJA KATI YA KAZI YA JAMII TUIFANYAYO. |
Monday, February 10, 2014
KILA JAMBO NA WAKATI WAKE .ICHEKI HII
Friday, February 7, 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)